• HABARI MPYA

  Friday, October 04, 2019

  MANCHESTER UNITED WAAMBULIA SARE KWA AZ ALKMAAR EUROPA LEAGUE

  Brandon Williams wa Manchester United (kushoto) akisukumana na Dani de Wit wa AZ Alkmaar wakati wakigombea mpira usiku wa jana katika mchezo wa Kundi L UEFA Europa League uliomalizika kwa sare ya 0-0 Uwanja wa Cars Jeans mjini Den Haag 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED WAAMBULIA SARE KWA AZ ALKMAAR EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top