• HABARI MPYA

    Friday, October 11, 2019

    LEWANDOWSKI APIGA HAT TRICK POLAND YAICHAPA LATVIA 3-0 KUFUZU EURO

    Mshambuliaji Robert Lewandowski akiwa na mpira wake baada ya kukabidhiwa kufuatia kuifungia Poland hat-trick kwa mabao yake ya dakika za tisa, 13 na 76 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji Latvia usiku wa jana Uwanja wa Daugavas mjini Riga 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LEWANDOWSKI APIGA HAT TRICK POLAND YAICHAPA LATVIA 3-0 KUFUZU EURO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top