• HABARI MPYA

  Sunday, October 06, 2019

  GOLOVKIN AMSHINDA KWA POINTI DEREVYANCHENKO NEW YORK

  Gennady Golovkin akiinuliwa mkono baada ya kutetea mataji yake ya IBF na IBO uzito wa Middle kufuatia kumshinda Sergiy Derevyanchenko kwa pointi asubuhi ya leo ukumbi wa Madison Square Garden mjini New York, Marekani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GOLOVKIN AMSHINDA KWA POINTI DEREVYANCHENKO NEW YORK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top