• HABARI MPYA

  Thursday, September 05, 2019

  UHURU SULEIMAN ATUA FC LUPOPO YA DRC INAYOFUNDISHWA NA KATALAY ALIWIKA YANGA SC

  Kiungo mshambuliaji wa Tanzania, Uhuru Suleiman (kushoto) akisaini mkataba wa kujiunga na timu ya St Eloi Lupopo FC ya Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inayotumia Uwana wa Kibassa Maliba.
  Uhuru anajiunga na timu hiyo inayofundishwa na mchezaji wa zamani wa Yanga SC, Mkongo pia Mujalay Kataray baada ya kuachana na Royal Eagles FC ya Afrika Kusini
  Uhuru Suleiman aliamua kuvuka nje ya mipaka baada ya kuchezea klabu kadhaa nchini zikiwemo Simba SC na Coastal Union
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UHURU SULEIMAN ATUA FC LUPOPO YA DRC INAYOFUNDISHWA NA KATALAY ALIWIKA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top