• HABARI MPYA

  Tuesday, September 10, 2019

  'KING CLASS' AKIMNOA JUMA CHOKI KUMVAA MWAKYEMBE JUMAPILI

  Bondia Ibrahim Mgender 'King Class Mawe' kushoto' akipigana na Juma Choki katika pambanop la mazoezi mjini Dar es Salaam jana. Choki anajiandaa na pambano dhidi ya Emanuel Mwakyembe litakalofanyika Jumapili wiki hii ukumbi wa Backet Club ulipo Masaki, Jijini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'KING CLASS' AKIMNOA JUMA CHOKI KUMVAA MWAKYEMBE JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top