• HABARI MPYA

  Tuesday, September 17, 2019

  DE GEA ASAINI MKATABA MPYA WA HADI 2023 MANCHESTER UNITED

  Kipa David de Gea akisaini mkataba mpya wa muda mrefu kuendelea kutumika Manchester United hadi mwaka 2023 kwa mshahara wa Pauni 375,000 kwa wiki wenye kipengele cha kuongezwa mwaka mmoja. Hadi sasa, kipa huyo wa kimataifa wa Hispania amewadakia Mashetani hao Wekundu mechi 367 tangu ajiunge nao mwaka 2011 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DE GEA ASAINI MKATABA MPYA WA HADI 2023 MANCHESTER UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top