• HABARI MPYA

  Friday, September 06, 2019

  AZAM FC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI CHAMAZI, YAICHAPA FRIENDS RANGERS 3-0 KATIKA MECHI YA KIRAFIKI

  Mshambuliaji wa Azam FC, Muivory Coast, Richard Ella D'jodi akimtoka beki wa Friends Rangers katika mchezo wa kirafiki jana usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 3-0 mabao ya Mzimbabwe Donald Ngoma, Mghana Daniel Amoah na mzawa Iddi Kipagwile 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI CHAMAZI, YAICHAPA FRIENDS RANGERS 3-0 KATIKA MECHI YA KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top