• HABARI MPYA

    Saturday, August 10, 2019

    STERLING APIGA HAT TRICK MAN CITY YAICHAPA WEST HAM 5-0

    Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao matatu dakika za 51, 75 na 90 na ushei katika ushindi wa 5-0 dhidi ya West Ham United Uwanja wa London. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 25 na Sergio Aguero kwa penalti dakika ya 86 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STERLING APIGA HAT TRICK MAN CITY YAICHAPA WEST HAM 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top