• HABARI MPYA

  Saturday, August 03, 2019

  MESSI AFUNGIWA MIEZI MITATU KUTOJIHUSISHA NA SOKA LA KIMATAIFA

  Na Mohamed Mshangama, ZANZIBAR 
  SHIRIKISHO la Soka Amerika Kusini (CONMEBOL), limemfungia mcheza soka wa kimataifa kutoka Argentina Lionel messi kwa kipindi cha miezi mitatu.
  Lionel messi amekumbana na adhabu hiyo kutona na maneno ya kushutumu  alioyatoa mwaka huu kwenye fainali hizo zilizo fanyika Brazili
  Baada ya mchezo messi alisema  kuwa shirikisho CONMEBOL limeanda mashindano hayo ili Brazili ambao walikua wenyeji wachukue taji hilo.
  CONMEBOL imemuadhibu na kumtwanga faini messi ya dola za kimarekani $50,000 kama moja ya faini.
  Messi ataikosa michezo ya kimataifa ambapo September dhidi ya  Chile na  Mexico, ataweza kurudi Nov. 13 dhidi ya wapinzania wao   Brazil.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AFUNGIWA MIEZI MITATU KUTOJIHUSISHA NA SOKA LA KIMATAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top