• HABARI MPYA

  Tuesday, August 06, 2019

  MAGUIRE ASAINI MKATABA WA MIAKA SITA MAN UNITED PAUNI MILIONI 80

  Beki wa kati wa kimataifa wa England, Harry Maguire (kulia) akiwa amepozi na kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 80 akisaini mkataba wa miaka sita kutoka Leicester City na atakuwa analipwa mshahara wa Pauni 200,000 kwa wiki 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAGUIRE ASAINI MKATABA WA MIAKA SITA MAN UNITED PAUNI MILIONI 80 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top