• HABARI MPYA

    Friday, August 09, 2019

    DAVID LUIZ ATUA ARSENAL KWA DAU LA PAUNI MILIONI 7

    Beki David Luiz akiwa ameshika jezi ya Arsenal baada ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 7 kutoka Chelsea akisaini mkataba wa miaka miwili kwenda kufanya tena kazi na kocha Unai Emery - ambaye awali alikuwa naye  PSG nchini Ufaransa 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DAVID LUIZ ATUA ARSENAL KWA DAU LA PAUNI MILIONI 7 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top