• HABARI MPYA

  Saturday, July 06, 2019

  TFF YAWAFUNGIA MIAKA MITANO KILA MMOJA VIONGOZI WATATU KWA MAKOSA TOFAUTI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
  KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imewafungia miaka mitano kila mmoja, viongozi watatu wa soka wa klabu na mikoa tofauti.
  Hayo yamo katika taarifa ya Mwenyekiti Kamati ya Maadili ya TFF, Wakili Kichere Mwita Waissaka jana mjini Dar es Salaam.
  Taarifa hiyo imewataja waliofungiwa ni Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Songwe, Erick Ambakisye, Katibu wa Chama cha Soka Tabora, Athumani Kilundumya na Katibu wa Geita Gold FC, Seif Kulunge.

  Rais wa TFF, Wallace Karia (kulia) akiwa na Katibu wake, Wilfred Kidau

  Na hayo yamefikiwa katika kikao cha Kamati ya Maadili ya TFF iliyokutana kwa siku mbili Juni 22 na Juni 23 kusikiliza mashauri manne na baadaye kuyatolea hukumu. GONGA HAPA KUSOMA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YAWAFUNGIA MIAKA MITANO KILA MMOJA VIONGOZI WATATU KWA MAKOSA TOFAUTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top