• HABARI MPYA

  Saturday, July 20, 2019

  STERLING AKOSA PENALTI MAN CITY YACHAPWA 3-2 NA WOLVES

  Raheem Sterling akisikitika baada ya kukosa penalti kipindi cha kwanza Manchester City ikilazimishwa sare ya 0-0 na Wolverhampton Wanderers FC kabla ya kufungwa kwa penalti 3-2 kwenye mchezo wa kirafiki wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa leo Uwanja wa Hongkou mjini Shanghai, China 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STERLING AKOSA PENALTI MAN CITY YACHAPWA 3-2 NA WOLVES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top