• HABARI MPYA

  Monday, July 01, 2019

  RASHFORD ASAINI MKATABA WA KUBAKI MAN UNITED HADI 2023

  Mshambuliaji wa kimataifa wa England, Marcus Rashford akisaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea Manchester United hadi mwaka 2023 na mchezaji huyo aliyejiunga na klabu hiyo akiwa ana umri wa miaka saba, sasa mshahara wake utakuwa ni Pauni 200,000 kwa wiki ambazo ukichanganya na posho atakuwa anapokea Pauni 300,000 kila juma 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RASHFORD ASAINI MKATABA WA KUBAKI MAN UNITED HADI 2023 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top