• HABARI MPYA

  Sunday, July 07, 2019

  MESSI ALIMWA NYEKUNDU ARGENTINA YASHINDA 2-1 COPA AMERICA

  Refa akiwaonyesha kadi nyekundu mshambuliaji Lionel Messi wa Argentina na beki Gary Medel wa Chile (jezi nyekundu) dakika ya 37 baada ya wawili hao kugombana usiku wa Jumamosi katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu michuano ya Copa America. Argentina ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Sergio Aguero dakika ya 12 na Paulo Dybala dakika ya 22, wakati la Chile lilifungwa na Arturo Vidal kwa penalti dakika ya 59 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI ALIMWA NYEKUNDU ARGENTINA YASHINDA 2-1 COPA AMERICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top