• HABARI MPYA

    Sunday, July 07, 2019

    MAREKANI BINGWA TENA KOMBE LA DUNIA WANAWAKE

    Wachezaji wa Marekani wakipongezana baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Uholanzi, mabao ya Megan Rapinoe dakika ya 61 kwa penalti na Rose Lavelle dakika ya 69 Uwanja wa Groupama, Decines-Charpieu mjini Lyon, Ufaransa hivyo kutwaa Kombe la Dunia la Wanawake 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAREKANI BINGWA TENA KOMBE LA DUNIA WANAWAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top