• HABARI MPYA

  Saturday, July 20, 2019

  GREENWOOD AIFUNGIA BAO PEKEE MAN UNITED YAILAZA INTER MILAN 1-0

  Kinda wa England mwenye umri wa miaka 17, Mason Greenwood (katikati) akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao pekee dakika ya 76 ikiilaza 1-0 Inter Milan leo katika mchezo wa kitafiki Kombe la Mabingwa wa Kimataifa leo Uwanja wa Taifa wa Singapore 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GREENWOOD AIFUNGIA BAO PEKEE MAN UNITED YAILAZA INTER MILAN 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top