• HABARI MPYA

  Thursday, July 18, 2019

  ARSENAL YAFUTA UTEJA KWA BAYERN MUNICH, YAICHAPA 2-1 MAREKANI

  Eddie Nketiah akishangilia na Tyreece John-Jules (kushoto) in baada ya kuifungia bao la ushindi Arsenal dakika ya 88 ikiilaza Bayern Munich 2-1 katika mchezo wa kirafiki michuano ya Kombe la Mabingwa wa Kimataifa leo Uwanja wa Dignity Health Sports Park, Carson, California mjini Los Angeles. Louis Poznanski alianza kujifunga dakika ya 49 katika harakati za kuokoa krosi ya Pierre-Emerick Aubameyang kuipa Arsenal bao la kuongoza, kabla ya Robert Lewandowski kuisawazishia Bayern Munich dakika ya 71 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAFUTA UTEJA KWA BAYERN MUNICH, YAICHAPA 2-1 MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top