• HABARI MPYA

  Wednesday, June 05, 2019

  RONALDO APANIA KUIBEBA URENO LIGI YA MATAIFA YA ULAYA LEO

  Cristiano Ronaldo akiwa mazoezini jana na timu yake ya taifa, Ureno ikijiandaa na mchezo wa Nusu Fainali Ligi ya Mataifa ya Ulaya dhidi ya Uswisi leo Uwanja wa Do Dragao mjini Porto) kuanzia Saa 3:45 usiku 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO APANIA KUIBEBA URENO LIGI YA MATAIFA YA ULAYA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top