• HABARI MPYA

  Wednesday, June 19, 2019

  REAL MADRID YAMTAMBULISHA BEKI WAKE MPYA MENDY

  Rais wa Real Madrid, Florentino Perez akimkabidhi jezi ya klabu hiyo beki Mfaransa, Ferland Mendy leo wakati wa utambulisho wake Uwanja wa Santiago Bernabeu kufuatia kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 49 kutoka Lyon ya Ufaransa. Mendy anakuwa mchezaji mpya wa tano kujiunga na Real Madrid baada ya Luka Jovic, Eden Hazard, Eder Militao na Rodrygo, hivyo kumfanya kocha Mfaransa Zinedine Zidane awe ametumia jumla ya Pauni Milioni 300 hadi sasa katika harakati zake za kukisuka upya kikosi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAMTAMBULISHA BEKI WAKE MPYA MENDY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top