• HABARI MPYA

  Saturday, June 15, 2019

  MPABBE ALIKUWEPO KUISHUHUDIA RAPTORS IKIBEBA TAJI LA NBA

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa, Kylian Mbappe alikuwepo kwenye mechi ya sita ya fainali ya Ligi ya Mpira wa Kikapu Mareekani, NBA 2019 Uwanja wa Oracle Arena mjini Oakland, California, Toronto Raptors wakitwaa taji lao la kwanza na la kwanza pia la michuanon hiyo kwa timu ya Canada baada ya kuifunga Golden State Warriors 114-110 usiku wa Alhamisi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MPABBE ALIKUWEPO KUISHUHUDIA RAPTORS IKIBEBA TAJI LA NBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top