• HABARI MPYA

  Sunday, June 02, 2019

  KIKOSI CHA SIMBA SC KILICHOTWAA UBINGWA WA LIGI KUU 1994 NA 1995

  KIKOSI tishio cha Simba SC kilichotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mara mbili mfululizo 1994 na 1995 kutoka kulia waliosimama ni Hussein Marsha, Edward Chumila (marehemu), Mustafa Hoza, Mwameja Mohammed, Joseph Katuba (marehemu), Madaraka Suleiman, Duwa Said, Athumani China na Mfadhili Azim Dewji. Waliochuchumaa kutoka kulia ni George Masatu, Iddi Suleiman, Nteze John, George Lucas, Deo Mkuki, Kasongo Athumani, Juma Amir Maftah na Godwin Aswile Mulimba ‘Scania’ 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA SIMBA SC KILICHOTWAA UBINGWA WA LIGI KUU 1994 NA 1995 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top