• HABARI MPYA

  Saturday, May 04, 2019

  RONALDO AINUSURU JUVENTUS KUCHAPWA NA TORINO SERIE A

  Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Juventus dakika ya 84 ikitoa sare ya 1-1 na Torino ambayo ilitangulia kwa bao la Sasa Lukic dakika ya 18 katika mchezo wa Serie A usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Juventus tayari wamejihakikishai ubingwa wa Italia, wakati Torino wanapanda nafasi ya sita kwa sare hiyo huku Ronaldo akifunga bao la 100 kwa kichwa na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 sasa ana jumla ya mabao 601 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AINUSURU JUVENTUS KUCHAPWA NA TORINO SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top