• HABARI MPYA

  Sunday, May 12, 2019

  MANE AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YAMALIZA NA USHINDI WA 2-0

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal, Sadio Mane akishangilia kwa furaha baada ya kufunga mabao yote mawili dakika za 17 na 81 Liverpool ikishinda 2-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers kwenye mchezo wake wa mwisho wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield na kumaliza nafasi ya pili kwa pointi zake 97, ikizidiwa moja na Manchester City walioibuka mabingwa. Lakini Mane amefanikiwa kumaliza sawa kwa mabao na mshambuliaji mwenzake wa Liverpool, Mmisri Mohamed Salah na Mgabon wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang, 22 kila mmoja    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANE AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YAMALIZA NA USHINDI WA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top