• HABARI MPYA

    Thursday, May 02, 2019

    LIVERPOOL WAREJEA VICHWA CHINI BAADA YA KIPIGO CHA JANA

    Wachezaji wa Liverpool, beki Virgil van Dijk na mshambuliaji Sadio Mane (kulia) walipowasili Liverpool leo kutoka Barcelona ambako jana walifungwa 3-0 na wenyeji Uwanja wa Camp Nou katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Timu hizo zitarudiana Jumanne ijayo Uwanja wa Anfield 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL WAREJEA VICHWA CHINI BAADA YA KIPIGO CHA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top