• HABARI MPYA

  Saturday, April 06, 2019

  TWIGA STARS NA DRC KATIKA PICHA TAIFA KUFUZU OLIMPIKI

  Beki wa Tanzania, Stumai Abdallah akimtoka mchezaji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Horinela Salu katika mchezo wa kufuzu Olimpiki 2020 Wanawake jana Uwanja wa Taifa Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 2-2
  Mwanahamisi Omar 'Gaucho' wa Twiga Stars wakiwatoka wachezaji wa DRC, Exaucee Ndjoli na Emelaude Muyenga 
  Mfungaji wa bao la kusawazisha la Twiga Stars, Asha Rashid 'Mwalala' akimiliki mpira mbele ya beki wa DRC, Natacha Bakonga 
  Kikosi cha Twiga Stars kabla ya mchezo wa jana uliomalizika kwa sare ya 2-2 Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam  
  Kikosi cha DRC kabla ya mchezo wa jana dhidi ya Twiga Stars uliomalizika kwa sare ya 2-2 Uwanja wa Taifa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TWIGA STARS NA DRC KATIKA PICHA TAIFA KUFUZU OLIMPIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top