• HABARI MPYA

  Sunday, April 07, 2019

  BARCELONA YATUMIA DAKIKA MBILI KUICHAPA 2-0 ATLETICO MADRID

  Lionel Messi (katikati) akikimbia kushangilia baada ya kuifngia bao la pili Barcelona dakika ya 86 kufuatia Luis Suarez kufunga la kwanza dakika ya 85 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Atletico Madrid kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Sasa Barcelona inaongoza La Liga kwa pointi 11 zaidi ya Atletico Madrid wanaofuatia kwenye msimamo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YATUMIA DAKIKA MBILI KUICHAPA 2-0 ATLETICO MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top