• HABARI MPYA

  Wednesday, April 10, 2019

  SON HEUNG-MIN AIZIMA MAN CITY LONDON LIGI YA MABINGWA

  Son Heung-min akinyoosha kidole kwenye beji ya Tottenham Hotspur kwa furaha baada ya kuifungia bao pekee dakika ya 78 ikiilaza 1-0 Manchester City katika Robo Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika usiku wa jana Uwanja wa Tottenham Hotspur mjini London. Sergio Aguero alikosa penalti kwenye mchezo huo baada ya shuti lake kupanguliwa na kipa Hugo Lloris kufuatia Danny Rose kuunawa mpira uliopigwa na Raheem Sterling na timu hizo zitarudiana Aprili 17 Uwanja wa Etihad mjini Manchester 
     
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SON HEUNG-MIN AIZIMA MAN CITY LONDON LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top