• HABARI MPYA

  Wednesday, April 10, 2019

  SIR FERGUSON AHUDHURIA MAZISHI YA 'MR MANCHESTER CITY'

  Kocha wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson (kulia) akiwa kwenye msiba wa Rais wa zamani wa maisha wa Manchester City, Bernard Halford maarufu kama 'Mr Manchester City' aliyefariki dunia mwishoni mwa mwezi uliopita akiwa na umri wa miaka 77 na kuzikwa leo mjini huo. Halford ameitumikia Manchester City kwa miaka 47 kama Katibu Mkuu kuanzia 1972 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIR FERGUSON AHUDHURIA MAZISHI YA 'MR MANCHESTER CITY' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top