• HABARI MPYA

  Thursday, April 04, 2019

  REAL MADRID YAPOTEZA MECHI YA KWANZA TANGU ZIDANE AREJEE

  Kocha Zinedine Zidane akiwa haamini macho yake jana baada ya Real Madrid kuchapwa kwa mara ya kwanza chini yake, ikifungwa 2-1 na Valencia katika mchezo wa La Liga usiku wa jana hicho kikiwa kipigo cha tisa kwa timu hiyo msimu huu kwenye ligi hiyo. Mabao ya Valencia yalifungwa na Goncalo Guedes dakika ya 35 na Ezequiel Garay dakika ya 83, wakati la Real Madrid ambayo sasa inazidiwa pointi 13 na Barcelona inayoongoza La Liga, lilifungwa na Karim Benzema dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAPOTEZA MECHI YA KWANZA TANGU ZIDANE AREJEE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top