• HABARI MPYA

  Wednesday, April 10, 2019

  LIVERPOOL YANUSA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA

  Roberto Firmino (kushoto) na Naby Keita wakishangilia baada ya wote kufunga katika ushindi wa 2-0 wa Liverpool dhidi ya FC Porto kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Anfield usiku wa jana. Keita alifunga la kwanza dakika ya tano na Firmino la pili dakika ya 26 na timu hizo zitarudiana Aprili 17 Uwanja wa Do Dragao mjini Porto 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YANUSA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top