• HABARI MPYA

  Sunday, April 07, 2019

  BENZEMA APIGA ZOTE MBILI REAL MADRID YAICHAPA EIBAR 2-1

  Mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema akishangilia baada ya kufunga mabao yote mawili dakika za 59 na 81 Real Madrid ikiibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Eibar usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu kwenye mchezo wa La Liga. Bao la Eibar lilifungwa na Marc Cardona dakika ya 39 na sasa Real Madrid inazidiwa pointi 13 na vinara, Barcelona baada ya wote kucheza mechi 31 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENZEMA APIGA ZOTE MBILI REAL MADRID YAICHAPA EIBAR 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top