• HABARI MPYA

    Thursday, April 11, 2019

    BARCELONA YAICHAPA MANCHESTER UNITED 1-0 LIGI YA MABINGWA

    Luis Suarez akikimbia kushangilia baada ya mpira alioupiga kwa kichwa kuunganishiwa nyavuni na Luke Shaw (hayupo pichani) aliyejifunga dakika ya 12 kuipatia Barcelona bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester United usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Timu hizo zitarudiana Aprili 16 Uwanja wa Camp Nou, Barcelona 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA YAICHAPA MANCHESTER UNITED 1-0 LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top