• HABARI MPYA

  Saturday, March 09, 2019

  STERLING APIGA HAT TRICK MAN CITY YAIBAMIZA WATFORD 3-1 ENGLAND

  Mshambuliaji Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao yote matatu dakika za 46, 50 na 59 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Watford usiku huu Uwanja wa Etihad kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England.
  Bao pekee la Warford limefungwa na Gerard Deulofeu dakika ya 66 na kwa ushindi huo, Manchester City inafikisha pointi 74 baada ya kucheza mechi 30 ikiendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi nne zaidi ya Liverpool wanaofuatia katika nafasi ya pili, ingawa wana mchezo mmoja mkononi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STERLING APIGA HAT TRICK MAN CITY YAIBAMIZA WATFORD 3-1 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top