• HABARI MPYA

  Thursday, March 07, 2019

  PORTO NAYO 'YAPINDUA MEZA' KUITUPA NJE AS ROMA

  Alex Telles akishangilia baada ya kuifungia Porto bao la ushindi dakika ya 117 ikiilaza 3-1 AS Roma usiku wa jana katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Do Dragao mjini Porto. Mabao mengine ya Porto yalifungwa na Francisco Soares 'Tiquinho' dakika ya 26 na Moussa Marega dakika ya 52, wakati la Roma lilifungwa na Daniele De Rossi kwa penalti dakika ya 37. Kwa matokeo hayo, Porto inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-3 kufuatia kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza mwezi uliopita 
       
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PORTO NAYO 'YAPINDUA MEZA' KUITUPA NJE AS ROMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top