• HABARI MPYA

  Sunday, March 10, 2019

  MANE APIGA MBILI LIVERPOOL YAICHAPA BURNLEY 4-2 ANFIELD

  Sadio Mane akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Liverpool dakika za 29 na 90 na ushei katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Mabao mengine yamefungwa na Roberto Firmino dakika ya 19 na 67, wakati ya Burnley yamefungwa na Ashley Westwood dakika ya sita na Johann Berg Gudmundsson dakika ya 90 na ushei na kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 73 baada ya kucheza mechi 30 ikiendelea kushika nafasi ya pili nyuma ya Manchester City yenye pointi 74 za mechi 30 pia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANE APIGA MBILI LIVERPOOL YAICHAPA BURNLEY 4-2 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top