• HABARI MPYA

  Sunday, March 10, 2019

  TUKUYU STARS ‘BANYAMBALA’ 1991, CHACHALA, CHAMBUA NDANI

  Kikosi cha Tukuyu Stars mwaka 1991 kutoka kushoto waliosimama ni mwasisi wa klabu hiyo, Ramnik Patel 'Kaka' (marehemu), Pobias Malilo, Jimmy Mored, Daudi Kufakunoga, Issa Mohamed, Jabir Mahmoud, Betwel Afrika, Robert Damian na Chachala Muya.
  Waliochuchumama kutoka kushoto ni Kanza Mrisho, Michael Kidilu, Sekilojo Chambua, Ikupilika Nkoba, Mohammed Kasanda na Asanga Aswile.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TUKUYU STARS ‘BANYAMBALA’ 1991, CHACHALA, CHAMBUA NDANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top