• HABARI MPYA

    Friday, March 08, 2019

    CHELSEA YAICHAPA DYNAMO KIEV 3-0 16 BORA EUROPA LEAGUE

    Willian akishangilia mbele ya mashabiki baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 65 ikiilaza 3-0 Dynamo Kiev katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Pedro dakika ya 17 na Callum Hudson-Odoi dakika ya 90 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA DYNAMO KIEV 3-0 16 BORA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top