• HABARI MPYA

  Monday, March 04, 2019

  BALOTELLI AJIREKODI BAADA YA KUFUNGA NA KUPOSTI HAPO HAPO

  Mshambuliaji Mario Balotelli akijirekodi video ambayo aliiposti muda huo huo Instagram wakati akishangilia baada ya kuifungia Marseille bao la kwanza dakika ya 12 kabla ya Florian Thauvin kufunga la pili kwa penalti dakika ya 21 kuiwezesha timu yao kushinda 2-0 dhidi ya Saint Etienne katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Orange Velodrome mjini Marseille PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALOTELLI AJIREKODI BAADA YA KUFUNGA NA KUPOSTI HAPO HAPO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top