• HABARI MPYA

  Thursday, February 07, 2019

  MAN CITY YAIPIGA EVERTON 2-0 NA KUREJEA KILELENI ENGLAND

  Mshambuliaji Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester City dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Everton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park kufuatia Aymeric Laporte kufunga la kwanza dakika ya 45 na ushei. 
  Kwa ushindi huo, Manchester Citybinafikisha pointi 62 baada ya kucheza mechi 26, ikirejea kileleni mwa Ligi Kuu kwa wastani wa mabao tu,m kwani inalingana kwa pointi na Liverpool iliyocheza mechi 25 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAIPIGA EVERTON 2-0 NA KUREJEA KILELENI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top