• HABARI MPYA

  Tuesday, February 05, 2019

  LIVERPOOL YATOA SARE TGENA, 1-1 NA WEST HAM UNITED LONDON

  Katikati juu ni mfungaji wa bao la Liverpool, Sadio Mane dakika ya 22 katika sare ya 1-1 na wenyeji, West Ham United usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London. Kushoto ni mfungaji wa bao la West Ham, Michail Antonio dakika ya 28 na kulia ni Aaron Cresswell. 
  Pamoja na sare hiyo ya pili mfululizo, Liverpool inaendelea kuongoza Ligi Kuu England ikifikisha pointi 62 katika mechi ya 25, sasa ikiwazidi kwa pointi tatu tu mabingwa watetezi, Manchester City, wanaofuatiwa na Tottenham Hotspur yenye pointi 57, Chelsea pointi 50, Manchester United pointi 48 na Arsenal 47 baada ya wote kucheza mechi 25 pia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YATOA SARE TGENA, 1-1 NA WEST HAM UNITED LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top