• HABARI MPYA

  Sunday, February 10, 2019

  MAJI MAJI ILIYOBEBA HADI UBINGWA WA LIGI YA MUUNGANO 1998

  Kikosi cha Maji Maji FC ya Songea ‘Wana Lizombe’ mwaka 1997 kutoka kulia waliosimama Doyi Moke, Omar Kapilima, Delo Tumba, Maalim Saleh ‘Romario’, Amri Said ‘Stam’, Kelvin Haule, Omar Hussein, Shaibu Kabwangwa, Ally Mopelo na Omar Bunju.
  Waliopiga magoti kutoka kulia ni Willy Martin ‘Gari Kubwa’, David Mjanja, John Alex,  Godfrey kikumbizi na Stven ‘Garrincha’ na kikosi hiki kilichochukuwa ubingwa wa Lgi Kuu ya Muungano mwaka 1998 kilikuwa chini ya kocha Nzoyisaba Tauzany ‘Bundes’, (sasa marehemu) 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAJI MAJI ILIYOBEBA HADI UBINGWA WA LIGI YA MUUNGANO 1998 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top