• HABARI MPYA

  Thursday, February 07, 2019

  BARCELONA NA REAL MADRID ZATOA SARE 1-1 KOMBE LA MFALME

  Wachezaji wa Barcelona, Clement Lenglet (kushoto) na Nelson Semedo wakimdhibiti mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Mfalme Hispania usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Timu hizo zilitoka sare ya1-1, Real Madrid wakitangulia kwa bao la Lucas Vasquez dakika ya sita kabla ya Malcom kuisawazishia Barcelona dakika ya 57 na sasa zitarudiana Februari 27 Uwanja wa Bernabeu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA NA REAL MADRID ZATOA SARE 1-1 KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top