• HABARI MPYA

  Sunday, February 10, 2019

  AMBUNDO NA NDAYIRAGIJJE WAKABIDHIWA TUZO ZAO KMC NA ALLIANCE ZIKITOA SARE

  Msemaji wa BikoSports, Geoffrey Lea (kushoto) akimkabizi tuzo mshambuliaji wa Alliance FC ya Mwanza, Dickson Ambundo baada ya kuibuka Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Januari jioni ya leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. 
  Msemaji wa BikoSports, Geoffrey Lea (kulia) akimkabizi tuzo Kocha wa KMC ya Kinondoni, Etienne Ndayiragijje baada ya kuibuka Kocha Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Januari jioni ya leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaa. Zoezi hilo lilifanyika kabla ya mchezo wa Ligi Kuu na baina ya KMC na Alliance uliomalizika kwa sare ya 1-1 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AMBUNDO NA NDAYIRAGIJJE WAKABIDHIWA TUZO ZAO KMC NA ALLIANCE ZIKITOA SARE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top