• HABARI MPYA

  Saturday, January 12, 2019

  WEST HAM UNITED YAIGONGA NYUNDO MOJA ARSENAL LONDON

  Kiungo Declan Rice akishangilia baada ya kuifungia bao pekee West Ham United dakika ya 48 akimalizia pasi ya mchezaji mpya, Samir Nasri katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Arsenal leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London. Ushindi huo unaipandisha West Ham kutoka nafasi ya 11 hadi ya nane kwenye msimamo wa Ligi Kuu ikifikisha plointi 31 katika mechi ya 22, wakati Arsenal inabaki nafasi ya tano na pointi zake 41 za mechi 22 pia  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WEST HAM UNITED YAIGONGA NYUNDO MOJA ARSENAL LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top