• HABARI MPYA

  Monday, January 07, 2019

  VAZQUEZ ALIMWA KADI NYEKUNDU REAL MADRID YACHAPWA 2-0

  Refa Jose Munuera akimuonyesha kadi nyekundu Lucas Vazquez wa Real Madrid baada ya kumuonyesha kadi ya pili ya njano na kumtoa nje dakika ya 61 kufuatia kumchezea rafu Mikel Merino wa Real Sociedad katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Santiago Bernabeu. Real Sociedad ilishinda 2-0, mabao ya Willian Jose kwa penalti dakika ya tatu na Ruben Pardo dakika ya 83 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VAZQUEZ ALIMWA KADI NYEKUNDU REAL MADRID YACHAPWA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top