• HABARI MPYA

  Sunday, January 06, 2019

  USHIRIKA MOSHI YA MWAKA 1994 NA KIPA WAO BAHATISHA NDULUTE

  Kikosi cha Ushirika Moshi kabla ya moja ya mechi zake za Ligi daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara mwaka 1994. Kutoka kulia waliosimama ni Patrick Betwel, Mapunda, Charles Daffa (marehemu), Abdallah Ally, Michael Peter (marehemu), Abdallah Suleiman ‘Kaburu’, Humphrey Mgaza (marehemu), Abuu Juma na Meneja Juma Mahimbo.
  Waliochuchumaa kutoka kutoka kulia ni; Bahatisha Ndulute, Wasi Kiango (marehemu), Rashid Kondo, Shaaban Juma, Andrew Kabisama (marehemu), Simon Masange (marehemu), Ally Bushiri na Abdul Abbas.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: USHIRIKA MOSHI YA MWAKA 1994 NA KIPA WAO BAHATISHA NDULUTE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top