• HABARI MPYA

  Wednesday, January 09, 2019

  TOTTENHAM YAICHAPA CHELSEA 1-0 NUSU FAINALI YA KWANZA CARABAO

  Harry Kane akishangilia na mchezaji mwenzake, Dele Alli baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Tottenham Hotspur dakika ya 26 ikiilaza Chelsea 1-0 katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao jana Uwanja wa Wembley mjini London. Bao hilo awali lilikataliwa na mshika kibendera kabla ya marudio ya picha za video kuonyesha ni bao halali ndipo likakubaliwa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TOTTENHAM YAICHAPA CHELSEA 1-0 NUSU FAINALI YA KWANZA CARABAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top