• HABARI MPYA

    Saturday, January 12, 2019

    SIMBA SC NA JS SAOURA KATIKA PICHA LEO UWANJA WA TAIFA

    Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akipasua katikati ya wachezaji wa JS Saoura katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0. 
    Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi (kulia) akimtoka beki wa JS Saoura, Imadeddine Boubekeur  
    Kiungo Mzambia wa Simba SC, Clatous Chama akimtoka beki wa JS Saoura, Ibrahim Bekakchi 
    Beki Mghana wa Simba SC, Nicholas Gyan akipiga shuti mbele ya wachezaji wa JS Saoura   
    Beki Muivory Coast wa Simba SC, Serge Wawa Pascal akiondoka na mpira mbele ya kiungo wa JS Saoura, Ziri Hammar 
    Nahodha wa Simba SC, John Bocco akimtoka beki wa JS Saoura  
    Kiungo wa Simba SC, Hassan Dilunga 'HD' akimdhibiti beki wa JS Saoura, Nacereddine Khoualed 
    Mgeni rasmi, Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson akiwa na mfanyabiashara na mwanahisa mkuu wa Simba SC, Mohamed Dewji leo Uwanja wa Taida 
    Kikosi cha JS Saoura kabla ya mchezo na Simba SC leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam 
    Kikosi cha Simba SC kabla ya mchezo na  JS Saoura leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA JS SAOURA KATIKA PICHA LEO UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top