• HABARI MPYA

    Saturday, January 12, 2019

    SALAH APIGA LA PENALTI LIVERPOOL YAZIDI KUPAA ENGLAND

    Nahodha Jordan Henderson akishangilia na mfungaji wa bao pekee la Liverpool, Mohamed Salah kwa penalti dakika ya 50 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The AMEX. Ushindi huo unaifanya Liverpool ifikishe pointi 57 baada ya kucheza mechi 22 ikiendelea kuongoza Ligi Kuu ya England kwa pointi saba zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City wanaofuatia katika nafasi ya pili ambao hata hivyo wana mchezo mmoja mkononi 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SALAH APIGA LA PENALTI LIVERPOOL YAZIDI KUPAA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top